Timu za wataalamu za Iran na Marekani zinatazamiwa kuanza tena mazungumzo mjini Doha, siku chache baada ya majeshi ya nchi ...
Mke wa Vital Kamerhe aliripoti kuwa nyumba yao ilikuwa eneo la mapigano ya bunduki kwa takriban saa moja kati ya washambuliaji na walinzi wa nyumba yao. Hamida Chatur Kamerhe alieleza jinsi ...
Waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper amekanusha madai kuwa majeshi yake yanataka kuondoka Iraq, baada ya barua kutoka kwa jenerali wa Marekani kupendekeza waondoke. Barua ilisema kuwa Marekani ...
Helikopta ya kijeshi ya Kenya iliyokuwa imembeba Mkuu wa Majeshi Francis Ogolla imeanguka katika mpaka wa Kaben-Cheptule kati ya Elgeyo Marakwet na Kaunti ya Pokot Magharibi katika eneo la magharibi ...
Hili ni onyo ambalo halikutarajiwa kwa kulenga matumizi ya nguvu ya vikosi vya usalama na ulinzi dhidi ya Wapalestina. Onyo hili limetolewa na mkuu wa majeshi ya Israel mwenyewe. Gadi Eizenkot ...
Wakuu wa majeshi wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS wanajiandaa kukutana mjini Accra nchini Ghana, kujadili uwezekano wa kuivamia kijeshi Niger, ikiwa juhudi za kidiplomasia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results