Mchezaji aliyeiongoza klabu ya Man United kushinda raundi ya nne ya kombe la FA Bruno Fernandes amepinga madai kwamba anahitaji kupumzika. Ni chini ya miezi 12 tangu Fernandes kujiunga na United ...